Meta tags:
Headings (most frequently used words):
ya, rasha, bila, bweni, malezi, jielewe, amani, unajua, kugombana, kufukua, makaburi, mahusiano, yenye, utulivu, unafanyaje, watoto, kutathmini, mabadiliko, yako, mwanaume, anapokimbia, kelele, nyumbani, kumbukumbu, lebo, mitandaoni, kwa, wetu, tumeiachia, itulelee, mipango, wasomaji, waliojiandikisha, tafuta, katika, blogu, hii, kikao, cha, tathmini, na, familia, teknolojia, tutafakari, hatari, unampeleka, mtoto, mdogo, fikiria, yanapokuwa, tuilaumu, teknonojia, machapisho, ufupi,
Text of the page (most frequently used words):
the (71), #iliyopita (47), kwa (39), #miaka (33), #mtoto (17), and (16), #bweni (15), #nyingine (14), #novemba (14), for (13), #desemba (13), #miezi (13), lakini (12), #zaidi (12), malezi (12), januari (11), mwaka (11), watoto (11), 2022 (11), watu (11), soma (10), #mahusiano (10), wazazi (10), saa (10), cha (10), wiki (9), kwenye (9), sasa (9), zilizopita (9), tanzania (9), kiungo (9), programu (9), barua (9), pepe (9), pinterest (9), kama (9), twitter (9), facebook (9), kuwa (9), pata (9), mei (9), with (9), oktoba (9), maoni (9), kikao (9), agosti (9), picha (9), that (9), julai (9), global (8), machi (8), shule (8), februari (8), namna (8), septemba (8), you (8), aprili (8), sana (8), hizi (8), ndoa (8), voices (8), wetu (7), teknolojia (7), nini (7), tabia (7), hata (7), pia (7), from (7), mambo (7), mimi (6), kila (6), bila (6), kazi (6), msingi (6), maisha (6), are (6), ujumbe (6), kwamba (6), onyesha (6), katika (6), siku (6), kawaida (5), familia (5), kuliko (5), blog (5), nyumbani (5), south (5), leo (5), yangu (5), com (5), new (5), our (5), may (5), mengi (5), juni (5), sisi (5), africa (4), ukweli (4), sababu (4), hii (4), mtu (4), huu (4), alhamisi (4), vya (4), chapisha (4), udadisi (4), kizazi (4), wanawake (4), www (4), nchi (4), wake (4), afrika (4), wao (4), maumivu (4), mzazi (4), uwezo (4), this (4), ana (4), education (4), students (4), macho (4), rasha (4), have (4), life (4), kujali (4), but (4), wako (4), mabadiliko (4), wadogo (4), yenye (4), mungu (4), nyingi (4), mfano (4), not (4), mama (4), african (4), haraka (4), sang (4), lake (4), nafasi (4), mipango (4), mkubwa (4), safari (4), jambo (4), elimu (4), zetu (3), shilingi (3), mno (3), when (3), speels (3), here (3), appartement (3), uitstekend (3), 2017 (3), part (3), pamoja (3), kubwa (3), multifunctioneel (3), yetu (3), nzuri (3), yako (3), sio (3), internet (3), godi (3), mwingine (3), muda (3), 2024 (3), kwanza (3), kabisa (3), kuona (3), wengi (3), unaweza (3), vigumu (3), driving (3), kuonesha (3), unafanyaje (3), ukamilifu (3), majina (3), unajua (3), mwanaume (3), mdogo (3), imani (3), kufikiri (3), jamii (3), makuzi (3), mitazamo (3), ijumaa (3), hivi (3), first (3), kifedha (3), hiki (3), yake (3), mpya (3), mukata (3), guard (3), hiyo (3), had (3), job (3), uliopita (3), bado (3), lugha (3), sector (3), all (3), dodoma (3), eneo (3), kuna (3), kutoka (3), hivyo (3), hayo (3), bora (3), sahihi (3), muhimu (3), well (3), mengine (3), women (3), amani (3), under (3), vikaratasi (3), want (3), napenda (3), being (3), present (3), juu (3), swahili (3), hatari (3), world (3), maneno (3), how (3), right (3), akasema (2), things (2), docta (2), mdada (2), haya (2), barder (2), review (2), kumwambia (2), than (2), most (2), huamua (2), libya (2), mzima (2), lived (2), huona (2), kijiweni (2), huna (2), love (2), were (2), hili (2), huwa (2), wote (2), taratibu (2), everything (2), hearts (2), shughuli (2), kuu (2), mrefu (2), kukubali (2), mbali (2), naona (2), designers (2), handbags (2), ndani (2), those (2), one (2), mwananchi (2), yao (2), karibu (2), mgogoro (2), february (2), deadline (2), old (2), two (2), salu (2), gharama (2), naye (2), writers (2), basi (2), activity (2), mohamed (2), mara (2), family (2), security (2), chronicles (2), was (2), watch (2), jioni (2), baadhi (2), walezi (2), gwamaka (2), elgohary (2), mahali (2), years (2), problem (2), mawasiliano (2), tumbo (2), wewe (2), darasa (2), way (2), science (2), support (2), schmidt (2), eric (2), makala (2), ushawishi (2), zenu (2), 2004 (2), hoja (2), enzi (2), wanaume (2), wapo (2), upande (2), china (2), kiswahili (2), mafanikio (2), run (2), ukibadilika (2), yanapokuwa (2), matano (2), will (2), attempt (2), bally (2), combating (2), who (2), 2023 (2), tuilaumu (2), teknonojia (2), country (2), unampeleka (2), say (2), they (2), fikiria (2), mie (2), kitu (2), tutafakari (2), 2005 (2), hood (2), moja (2), news (2), machache (2), mitandaoni (2), kazini (2), tigray (2), tafiti (2), sheria (2), addis (2), mwandishi (2), jielewe (2), zambia (2), skateboarding (2), fort (2), malengo (2), maamuzi (2), energy (2), ajira (2), sayansi (2), solar (2), haki (2), dini (2), blogu (2), occurred (2), tathmini (2), fahari (2), mwili (2), their (2), joto (2), hajali (2), tatizo (2), drivers (2), experienced (2), defensive (2), jumapili (2), public (2), agenda (2), achieve (2), tunabadilika (2), unawapa (2), through (2), apply (2), sijui (2), nyie (2), range (2), premium (2), mugisha (2), rhino (2), label (2), vile (2), 3365 (2), baada (2), alikuwa (2), hapo (2), christian (2), umri (2), bwaya (2), matokeo (2), machapisho (2), utafiti (2), sense (2), zote (2), baridi (2), law (2), maana (2), kukusumbua (2), days (2), wana (2), crisis (2), sciencespo (2), mwenzako (2), week (2), nani (2), tayari (2), mmoja (2), wakazi (2), mji (2), aina (2), usaidizi (2), made (2), interieurarchitecten (2), uelewa (2), huenda (2), mwanamke (2), pili (2), nikoline (2), svend (2), post (2), sun (2), kheri (2), hadi (2), makonde (2), there (2), good (2), mbele (2), year (2), ushairi (2), his (2), nyuma (2), into (2), ingawa (2), can (2), makubwa (2), kifanyike (2), hofu (2), network (2), ndio (2), hakuna (2), zitto (2), http (2), friends (2), kumbukumbu (2), brian (2), noti (2), kumpeleka (2), ombwe (2), thamani (2), connectivity (2), hawa (2), uelekeo (2), 2018 (2), today (2), aisha (2), very (2), mada (2), dream (2), young (2), kufanya (2), wanakupiga, jicho, mapema, dhihaka, hukumwomba, akupe, aibu, kutosha, ikaanza, mke, humtegemei, mwenyekiti, changamoto, sikuuona, yuko, miwili, kuonekana, hana, uhusiano, ilisomwa, dada, kueleza, waliozidiana, halaiki, jumlisha, tunaugulia, kiuhalisia, tumekutana, muongo, taswira, itikadi, kujenga, tunalazimika, ufuasi, mwenzake, kiwango, una, ugomvi, lazima, kiwe, tumeaminishwa, yenyewe, kuitwa, kielelezo, kukosea, yamekushinda, makali, ukishasema, kukiri, mzuri, amefikia, ninamuelewa, peke, uadui, anapokimbia, kelele, yalifanyika, mpiga, simkumbuki, haikutosha, manufaa, inayo, jamani, kutokuwepo, kujaza, wenzangu, labda, banguabongo, kupeana, uko, kitambi, hukuwa, rahisi, ikawa, maumbile, tuanze, lizibwe, kusaidia, kuishi, kushindwa, mrejesho, usipopata, tunavyobadilika, kujiona, ngazi, dondoo, likaeleweka, isiyokuwepo, kwake, tulivu, anayo, samahani, nililojiuliza, swali, aigize, mkewe, inamfanya, kukusimulia, jina, kuchafua, ananiambia, kusimulia, ulifikia, ukikaa, kuwachangamsha, jumamosi, kiakili, kufanyia, nitumie, mwanangu, hatimaye, historia, inakuwaje, haikosi, ikawadia, hajakamilisha, anashindwa, mitatu, tukiwa, namaaminisha, kutokuaminika, kuficha, tulizonazo, anayesoma, kubadili, kujielewa, kujizuia, vyenye, maadli, tunapokabiliwa, akakusanya, mafumbo, mahojiano, majibu, kijamii, kuvibandika, majadiliano, tunahitaji, jifunze, zisizo, matangazo, anayeamua, ukajisikia, ningekuwa, lebo, adhabu, sikuwahi, kuorodhesha, siasa, hasira, duru, yaliyomwendea, attachment, emotional, vyema, haiba, kumtelekeza, masimulizi, mengineyo, jukumu, usomaji, ujifunzaji, uongo, ruka, uongozi, ushauri, vitabu, utamaduni, ucheshi, tunapofanya, utoshelevu, viboko, vipaji, vipaumbele, maudhui, mahitimisho, udadidi, uandishi, mijadala, benki, mikutano, misingi, tafuta, mawazo, msongo, mwalikwa, afisa, tahadhari, nidhamu, tumizi, saikojia, sonona, simulizi, sikiliza, kiraia, asiyejali, yaliyokufanya, gani, tukatakiwa, unasihi, ndugu, saikolojia, mhadhiri, wasifu, angalia, awali, mume, kuandika, aende, kuhesabu, anafahamu, rangi, anawafahamu, mtanzania, baba, michache, konradlew, ulichofanya, mwanadamu, darasani, anatambua, blogger, inaendeshwa, zimetolewa, yamenikuta, mandhari, herufi, zimehifadhiwa, kadhaa, kinakufanya, tarakimu, ujisikie, ulikuwa, asiyeelewa, unampelekaje, unayopata, 2008, mabovu, tumegawiwa, tumieni, 2007, tulivyokuwa, sita, 2006, kinachohalalisha, kijani, kutengwa, tuliona, uamuzi, tafsiri, 2009, ukisikia, 2014, anayeona, 2016, 2015, 2013, 2012, 2011, vidogo, tena, 2010, maandalizi, mwenyewe, unacho, mnasema, mahitaji, sehemu, hatujui, hususani, anaona, eti, shida, masuala, hapakuwa, magumu, tangu, zilikuwepo, yameanza, urahisishwaji, kusisitiza, wanaochukulia, kuchukulia, inapepea, zilidumu, wasiwasi, kuwachokoza, kiteknolojia, ukitaka, kuwakabidhi, tunayoyashuhudia, wanaoaminika, tunavyoishi, shuleni, yote, yamebadili, nafahamu, hawakujua, wazee, mbona, hewani, mikono, kimsingi, kufubaza, huzifikiri, inabebwa, jipya, tunalohitaji, unachokisema, uzito, kusema, wenye, mazingira, kuchagua, ukishindwa, kulitazamwa, wenyewe, wakati, ukiwasikiliza, utulivu, kikuyu, kasimama, anaanzisha, kupata, haitoshi, kukaa, kaona, unamkumbuka, sogo, bwana, avenue, wanakuwa, vibaya, msitumie, pixabay, wale, taarifa, umeunda, walikuwa, kinachofuata, sanaa, anakiita, inachukua, muhuri, kutokupatikana, anavyogongea, peki, msikilize, wajibu, itakuwaje, zinazowafanya, kutokufanya, mzigo, anayebebeshwa, unapotokea, kifamilia, kupuuza, dhana, kugombana, kinanikutanisha, kisha, inabadili, mbadala, maswahiba, wadada, nikiangalia, kahawa, kufukua, kikombe, jumatano, jijini, reviewed, wanavyoyachukulia, makaburi, sipati, waamue, akina, vituo, mchezo, kilichozaliwa, kulipa, mkono, linaunga, tabasamu, migogoro, anausoma, umemshinda, pembeni, kakaa, kilikuwa, kunyanyasika, afadhali, matukio, ongelea, uvumilivu, kaamua, hisia, vichwa, limepanda, generation, tuwaleteeni, wakitushinda, kweli, watapata, kuulinda, mnawatetea, nawaambieni, zitatuharibia, kuwabeba, harakati, uanamue, kumaanisha, unavyosema, awasiliano, kukubaliana, kumaliza, ushahidi, miwani, kuvaa, ikabidi, imeanza, zana, halmashauri, sikuwa, baadae, ndivyo, kufinya, nalazimika, nilikuwa, nayo, ambavyo, huo, yanavyoanza, kingine, imepita, 9r6, maandishi, inayoambatana, tazama, mavazi, huja, unnamed, road, hayana, businessday, tulikuwa, sioni, kuchukua, unabaki, tumezungumza, kujitathmini, ukawa, halichomozi, kujiwekea, katuni, kinatarajiwa, kufuatiwa, waangalie, kamati, linakuja, badiliko, adabu, unapokuwepo, halina, nalo, unakula, mpango, baad, inakuwa, chenyewe, ilinichukua, kuhitaji, kwangu, ukiacha, tulivutana, abaki, usingependa, kulitoa, aloo, kustuka, kuja, unachukulia, kililenga, huoni, huyo, mwenye, afya, sawa, atakayeupokea, kuyatazama, mizania, kiholela, kuuachia, madhara, yanaweza, nyeti, wachache, kuuzuia, jiumiza, yanayotokana, wanachosahau, yatakayoyasababishwa, vitu, tunajilinganisha, kutulia, nyongo, kusoma, kugharimu, unaoweza, imerahisisha, uharibifu, kuleta, ikibidi, nguvu, ukikosea, yana, ili, akazingatie, kanuni, kuyatangaza, masomo, apate, zinazowaaminisha, kutema, tai, rqc7, itulelee, mchanganyiko, kutaka, umewahi, nia, njema, adobe, unaloona, stock, chanzo, kutathmini, biashara, kukosa, kilitokea, zipo, nazo, linaweza, kuacha, uugulie, kuwapeleka, hawaamui, aparna, kuwasumbua, kumwuumiza, taaluma, vijana, ukakosa, wanaochipukia, wengine, kuubeba, tumeiachia, ufike, inapatikana, unatamani, nyakati, via, waandishi, has, earnest, importance, papers, phd, him, above, debut, youtube, ranil, thoughts, about, excited, couple, whiteafrican, case, tec, isn, level, aid, nuru, ubiquitous, platforms, construction, ughaibuni, kulikoni, elections, general, eve, disrupted, inter, multiple, communication, light, online, media, social, disruption, widespread, confirm, observatory, netblocks, data, perpetual, inhibitor, website, wahenga, sarafu, kuchapa, tuendelee, vilikuwa, mvuto, ara, iling, hakika, tuna, simbadeo2000, asubuhi, serengeti, christ, songa, achilia, iwe, kuumizwa, hajawahi, mia, must, main, watanzania, others, alongside, before, argued, demokrasia, hukanusha, mashabiki, watawala, mwa, leave, miongoni, imetanda, dhahiri, hali, kabwe, taste, shop, carvings, tovuti, moved, kesho, kukubalika, revive, intentions, fuzzy, inayounganisha, hakijawa, msaada, pakubwa, inategemea, ukatatiza, summer, kigeni, elgoharymohamed, appeared, lingua, managing, work, ndagha, success, journey, melted, heat, bee, little, program, language, month, three, beijing, went, singapore, firm, perfectly, every, quit, june, report, mikocheni, correspondence, fount, passion, flames, stoke, grace, mary, tumehamia, matero, syllabus, mathematics, tanzanian, based, watchdog, zambian, another, murder, try, murdering, schools, hangman, received, recently, himself, assaulting, arrested, maricoh, wife, keith, secondary, student, sister, appearance, twin, marriage, between, choose, allowed, dad, almost, 1985, photo, mwangaza, supposed, theorem, congruence, sas, proving, math, develop, tasks, series, perform, ambaye, ajili, singapo, spinsters, demanded, highly, males, functioning, divorced, widow, mothers, single, changed, nyegerage, nowadays, societies, gold, recent, past, street, update, edition, bank, ladies, elimika, out, francophonia, west, female, prizes, makirita, hapa, tumeshahama, nakukumbusha, kisimachamaarifa, elimisha, zinapatikana, zotye, imehama, kukumbusha, msomaji, mpenzi, habari, jadili, fikiri, central, working, loading, shooting, xenophobic, wave, newest, context, putting, recount, brevity, sake, texas, tragic, organic, familiar, everyone, nearly, now, features, parenting, round, duara, dunia, bigotry, intellectual, ogp, matondo, shock, don, constitution, basic, information, corruption, form, reports, hide, ubongo, cultural, ubo, ikweta, mstari, ukanda, wanaoishi, yanaonyesha, jana, yaliyochapishwa, hegemony, matamu, mazoea, kupanga, floodies, kcbrugby, beastmode, rugby, lionheartedrugby, tujiamini, rugbynatusker, rugbyxvs, kenyarugby, blazefloodies, floodies2017, mentalacrobatics, weekend, jumping, stop, anyone, let, going, 2asknlq, impalasaracens, tunakuombea, instagram, feel, kuifurahia, ushindwe, yasikufanye, mamboleo, shone, mood, bad, more, after, mnyika, uzidi, john, lissu, pole, ugua, matibabu, ngwe, kiafya, kuimarika, ift, view, rama, branch, vifaa, handli, power, powerful, 18inch, speaker, iliyotengeneza, kampuni, jbl, professional, muziki, hls, speakers, bin, bass, double, karibundani, yuda, dee, original, vinauzwa, chiefs, mjamzito, naked, inte, abroad, owen, 1934, father, death, kujitambua, utambuzi, kabla, ujauzito, kuzingatia, mikikimikiki, kujifungua, arobaini, majuma, tisa, inayomchukua, ndefu, eight, david, waliojiandikisha, hydropower, tony, 1997, unakumbuka, kwako, viongozi, thinking, free, project, river, waziri, rufiji, completion, true, come, events, difficult, seems, blair, mkuu, something, these, climate, environment, around, conversation, redefine, school, high, bolivian, issues, contribute, account, take, future, although, oldest, know, yang, kiumri, kundi, especially, wish, rising, visiting, health, mental, boczkowski, pablo, responsibility, taken, university, favorite, second, umass, heart, break, spring, paris, maarifa, kisima, tatiz, umewasumbua, ushindani, wanalalamikia, capital, accra, used, hong, word, advocacy, insurrection, treason, defining, broadly, controversial, passes, kong, legco, city, debating, spent, lawmakers, lunar, during, draft, consultation, devoted, change, kapya, kile, mannered, tradition, changing, girls, ethiopian, like, girl, hard, boys, ill, abeba, practiced, sport, seen, doesn, society, arguments, downside, standard, earlier, apartheid, warring, wasomaji, ufupi, latest, allafrica, provocation, other, each, accuse, sides, clash, violent, deadly, ethiopia, currently, zone, situated, alamata, raya, confrontations, boom, deepening, kaoma, hel, tournament, afcon, lusakatimes, kaya, 2026, hichilema, president, explosion, seer, once, pariah, considered, nation, across, fast, exploded, phenomenal, make, struggle, côte, ivoire, risks, led, planning, without, grid, off, pressure, some, takes, rooftop, quintupling, privately, saw, hashtags, beyond, congo, bring, leopards, team, football, national, congolese, ambacho, mpendwa, wolf, wahofia, grand, jsr, joint, referred, commonly, espr, performance, time, kufa, 000, anticipated, mafuriko, yaangamizwa, derna, mwingi, ulinyesha, mvua, daniel, kimbunga, much, annual, mashariki, wangu, non, people, diary, utangulizi, inayouma, huruma, kimia, akawa, mshangao, huyu, event, aphukira, higher, learning, foundational, malawi, rebuilding, edifice, steadying, whe, ulipita, huko, quality, innovative, watatu, linakukumbusha, timbuktu, done, gets, transform, pressing, address, uses, proper, wewekwa, regulation, sensible, cards, play, writes, imagethief, hand, remembering, kumi, tumesimama, kuangamizwa, mbeya, biblia, tumesoma, ambayo, falls, victoria, yanaporomosh, makutano, zimbabwe, inakutana, jiji, katikati, 600, kilometa, takribani, barani, fulani, see, matofali, zoezi, sacker, handbag, rafiki, over, below, scholarships, goals, academic, dreams, educational, unlock, walks, mwezi, scholarship, ordinary, eyes, average, pursuit, eco, down, doubles, chang, essence, links, opportunities, winery, war, kocha, mezani, moving, americans, course, t49rhp, dlvr, 3arabawy, gaza, israel, international, role, egypt, kadulyu, training, ebook, skills, ebookmaker, https, wavuti, conservation, robertson, affordable, return, super, because, nekesa, overflow, letting, deeply, loving, persist, warm, give, kumshukuru, comfort, wrap, homes, bongocelebrity, sale, faves, prosta, tumore, prices, woman, mwenyezi, wines, mhe, design, upgraded, proud, loveren, van, rundugai, hassan, suluhu, samia, muungano, kutulinda, jamhuri, rais, kuwatakieni, mim, binafsi, kwao, bahati, haikuwa, walitamani, makuu,
Text of the page (random words):
unajua nikiangalia namna hawa wadogo zetu wanavyoyachukulia mahusiano sipati picha itakuwaje kwa watoto wetu mada mpya ya malezi inachukua nafasi yake dk mugisha anakiita kizazi hiki generation x kumaanisha kizazi kilichozaliwa kwenye teknolojia kawaida kila kizazi huona kilikuwa afadhali kuliko kizazi kinachofuata hata wazazi wetu kimsingi walikuwa na wasiwasi na sisi lakini ni ukweli pia kuwa mabadiliko makubwa ya kiteknolojia tunayoyashuhudia hivi sasa yamebadili kabisa namna tunavyoishi na kuchukulia mambo gwamaka anaona huu urahisishwaji wa kupata taarifa umeunda tatizo jipya tunalohitaji kulitazamwa teknolojia imerahisisha mno watu kuyatangaza maisha yao mitandaoni tunajilinganisha mno na kuyatazama maisha kwa mizania ya vitu hili linaweza kuwasumbua sana vijana wanaochipukia hivi sasa chapisha maoni soma zaidi unajua kugombana bila kufukua makaburi pata kiungo facebook twitter pinterest barua pepe programu nyingine alhamisi novemba 17 2022 picha pixabay msitumie vibaya elimu zenu bwana godi anaanzisha sogo kijiweni unamkumbuka kaona kukaa haitoshi kasimama kabisa mikono inapepea hewani kusisitiza hoja haya mambo yameanza leo ndoa zilikuwepo tangu enzi na enzi na hapakuwa na shida sasa nyie leo mnasema eti sisi wanaume ndio hatujui mahitaji ya wanawake mbona wazee wetu hawakujua hayo yote na bado ndoa zilidumu siku hizi ukitaka kuwachokoza wanaume ongelea matukio ya wanawake kunyanyasika salu kakaa pembeni anausoma mchezo tabasamu lake linaunga mkono hoja hata hivyo naona naye uvumilivu umemshinda kaamua kuulinda uanamue hizi harakati zenu za kuwabeba wanawake zitatuharibia ndoa mie nawaambieni mnawatetea sana wanawake na watapata vichwa kweli wakitushinda tuwaleteeni basi joto limepanda hisia hizi za akina salu si za kupuuza mgogoro unapotokea kwenye ndoa anayebebeshwa mzigo wa kutokufanya wajibu wake mara nyingi ni mwanamke msikilize peki anavyogongea muhuri dhana hiyo chapisha maoni eneo kikuyu avenue dodoma tanzania soma zaidi mahusiano yenye utulivu bila amani pata kiungo facebook twitter pinterest barua pepe programu nyingine alhamisi novemba 10 2022 chanzo stock adobe com hivi umewahi kutaka kumwambia mtu jambo unaloona ni muhimu lakini ukakosa namna nzuri ya kumwambia unatamani ujumbe ufike lakini maneno sahihi ya kuubeba huna unafanyaje wengine huamua kuacha kuliko kumwuumiza mwenzako huona bora mtu uugulie maumivu ndani kwa ndani mwingine hajali huamua bora kutema nyongo hivyo hivyo bila kujali maumivu yatakayoyasababishwa na ujumbe wanachosahau matokeo yanayotokana na k u jiumiza kwa kuuzuia ujumbe yanaweza kuwa sawa na madhara ya kuuachia ujumbe kiholela bila kujali maumivu ya atakayeupokea mawasiliano ni sayansi yenye nafasi nyeti katika mahusiano ukikosea kanuni mawasiliano yana nguvu ya kuleta uharibifu mkubwa unaoweza kugharimu afya ya mahusiano m awasiliano ni sanaa pia namna unavyosema jambo ni muhimu wakati mwingine kuliko hata ujumbe wenyewe ukishindwa kuchagua maneno sahihi na mazingira sahihi ya kusema jambo unaweza kufubaza uzito wa ujumbe wako thamani ya unachokisema inabebwa pia na namna maoni 2 soma zaidi unafanyaje kutathmini mabadiliko yako pata kiungo facebook twitter pinterest barua pepe programu nyingine ijumaa novemba 04 2022 picha mpiga picha simkumbuki mwaka ni 2004 tunabadilika jamani sijui nyie wenzangu labda ni mimi peke yangu lakini saa nyingine ni vigumu kujiona tunavyobadilika usipopata mrejesho kutoka kwa watu unaweza kufikiri uko vile vile lakini ukweli ni kwamba tunabadilika tuanze na maumbile ya mwili mwili ukibadilika ni rahisi kuona hukuwa na kitambi kwa mfano sasa unacho tumbo nalo huwa halina ga adabu badiliko lake linakuja taratibu sana halichomozi kwa siku moja unaweza ukawa unakula bila mpango huoni ukibadilika unachukulia kawaida kuja kustuka aloo kulitoa inakuwa shughuli ukiacha tumbo kwangu kuna hili la macho ilinichukua muda mrefu kukubali kuwa sioni mbali nilikuwa nalazimika kufinya macho naona kawaida baadae sikuwa na namna ikabidi kukubali kuvaa miwani ushahidi mwingine huo mabadiliko hayana ga haraka huja taratibu sana kingine mavazi tazama picha inayoambatana na maandishi haya hapo ni miaka 18 imepita huyo mwenye tai ni mimi sijui nini kilitokea maoni 3 soma zaidi mwanaume anapokimbia kelele nyumbani pata kiungo facebook twitter pinterest barua pepe programu nyingine jumamosi oktoba 29 2022 mwanadamu ana uwezo mkubwa wa kuficha tabia samahani namaaminisha mwanaume unajua katika jamii zetu ni aibu mwanaume kukiri mahusiano yamekushinda kuliko kuitwa kila aina ya majina saa nyingine tunalazimika kujenga taswira ya ukamilifu hata kama kiuhalisia tunaugulia maumivu makali jumlisha hapo dini kwa maana ya hizi itikadi za ufuasi wa halaiki kiwango cha kuonesha ukamilifu lazima kiwe juu zaidi tumeaminishwa ndoa ni kielelezo cha ukamilifu hakuna kukosea ukishasema una changamoto na mwenzako watu wanakupiga jicho la dhihaka hukumwomba mungu akupe mke humtegemei mungu vya kutosha nani yuko tayari kuonekana hana uhusiano mzuri na mungu kwa upande mmoja ninamuelewa sana godi hofu ya kuchafua jina lake inamfanya aigize amani ya ndoa isiyokuwepo swali nililojiuliza kwa nini sasa godi amefikia mahali hajali watu wa nyumbani kwake kama ana tatizo na mkewe inakuwaje anashindwa kujali hata watoto kila tabia kwa kawaida haikosi historia maoni 1 soma zaidi machapisho mengine inaendeshwa na blogger picha za mandhari zimetolewa na konradlew christian bwaya 2005 2017 haki kadhaa zimehifadhiwa christian bwaya mhadhiri wa saikolojia na unasihi mwandishi wa makala mwananchi na mtanzania mume na baba angalia wasifu kumbukumbu 2022 13 desemba 4 kikao cha tathmini na mipango ya familia tutafakari hatari ya malezi ya bweni unampeleka mtoto mdogo bweni fikiria malezi yanapokuwa rasha rasha tuilaumu teknonojia novemba 4 oktoba 5 2018 25 mei 2 aprili 4 machi 11 februari 2 januari 6 2017 95 oktoba 6 septemba 8 agosti 7 julai 12 juni 9 mei 14 aprili 11 machi 12 februari 8 januari 8 2016 46 desemba 8 novemba 9 oktoba 11 septemba 7 agosti 9 julai 2 2015 12 agosti 1 machi 1 februari 4 januari 6 2014 66 desemba 6 novemba 5 oktoba 11 septemba 10 agosti 14 julai 20 2013 6 novemba 2 januari 4 2012 9 novemba 1 julai 4 juni 1 mei 3 2011 21 julai 1 juni 2 mei 2 aprili 1 machi 4 februari 4 januari 7 2010 44 novemba 2 oktoba 6 septemba 5 agosti 4 julai 7 juni 1 mei 5 aprili 7 machi 1 februari 3 januari 3 2009 98 desemba 5 novemba 8 oktoba 11 septemba 2 agosti 6 julai 25 mei 6 aprili 5 machi 13 februari 9 januari 8 2008 80 desemba 18 novemba 13 oktoba 19 septemba 8 agosti 1 julai 1 juni 5 mei 1 aprili 5 machi 5 februari 1 januari 3 2007 24 desemba 11 novemba 8 mei 3 aprili 1 januari 1 2006 19 desemba 4 oktoba 3 septemba 1 agosti 1 julai 1 aprili 3 machi 1 februari 1 januari 4 2005 10 desemba 3 novemba 1 septemba 3 agosti 2 mei 1 onyesha mengine onyesha machache lebo adhabu blogu bweni dini duru za siasa elimu na jamii emotional attachment familia global voices haiba haki za mtoto hasira imani na mitazamo imani na sayansi jifunze kazi na ajira kubadili tabia kujielewa kujizuia lugha lugha na kufikiri maadli maamuzi mafanikio mafumbo mahojiano mahusiano mahusiano kazini mahusiano na ndoa mahusiano ya jamii majadiliano makuzi malengo malezi malezi na makuzi ya watoto masimulizi matangazo mengineyo mijadala mikutano mipango misingi ya tabia mitazamo na tabia msongo wa mawazo mwandishi mwalikwa nidhamu safari saikojia tumizi sheria ya mtoto sheria za kazi sonona tafiti teknolojia uandishi wa kiraia ucheshi udadidi udadisi ujifunzaji ukweli na uongo uongozi ushairi ushauri ushawishi usomaji wa vitabu utamaduni utoshelevu kazini viboko vipaji vipaumbele vituo vya malezi waandishi onyesha mengine onyesha machache wasomaji waliojiandikisha mitandaoni kwa ufupi allafrica news latest ethiopia deadly clash in south tigray as warring sides accuse each other of provocation addis standard addis abeba earlier this week violent confrontations occurred in raya alamata situated in the south tigray zone currently under the c saa 3 zilizopita global voices ethiopian girls are changing tradition through skateboarding o ur society doesn t support skateboarding it is seen as a sport practiced by ill mannered boys and so it was hard for a young girl like me to go a saa 5 zilizopita african arguments south africa s energy crisis is driving a solar boom but there s a downside the privately led quintupling of rooftop solar in 2 years takes some pressure off the grid but without planning risks deepening energy apartheid at th saa 6 zilizopita africa is a country congo beyond the hashtags the 2023 afcon tournament in côte d ivoire saw the congolese national football team the leopards bring saa 8 zilizopita lusakatimes com seer 1 and the explosion of president hichilema 2026 kaya by kapya kaoma i struggle to make sense of how the phenomenal bally exploded so fast across the nation bally is considered a pariah by those who once hel saa 16 zilizopita rising voices bolivian high school students want to redefine conversation around environment and climate change although they say that we are the future of the country they do not take us into account say students who want to contribute to these issues siku 2 zilizopita kila kitu mie everything is me you know you are the oldest when viongozi wote ni umri wako au wadogo kwako unakumbuka may 2 1997 tony blair alikuwa waziri mkuu mdogo uk alikuwa kundi moja kiumri na mama yang siku 5 zilizopita free thinking a dream come true the completion of the rufiji river hydropower project the word dream is used here in the sense of a wish to have something especially one that seems difficult to achieve and not that of events or fe wiki 1 iliyopita global voices advocacy hong kong passes controversial new security law broadly defining treason and insurrection the city had devoted 30 days to the public consultation of the draft law during the lunar new year and lawmakers had spent 12 days debating it in the legco wiki 1 iliyopita my heart s in accra pablo boczkowski on the crisis in the mental health capital of the world i m in paris this week spring break for umass visiting my second favorite university sciencespo i ve taken on a new responsibility with sciencespo wiki 1 iliyopita kisima cha maarifa 3365 unawapa nafasi ya kukusumbua 3365 unawapa nafasi ya kukusumbua kutoka mezani kwa kocha rafiki yangu mpendwa kile ambacho watu wengi wanalalamikia kwamba ushindani umewasumbua tatiz wiki 1 iliyopita mbele a course for african americans moving to africa http dlvr it t49rhp wiki 1 iliyopita 3arabawy egypt s role in israel s war on gaza wiki 3 zilizopita kadulyu my ebook on defensive driving training for experienced drivers https www ebookmaker ai defensive driving skills for experienced drivers wiki 4 zilizopita wavuti links scholarship opportunities for international students students from all over the world and all walks of life can unlock their educational dreams and achieve their academic goals with scholarships below is a li mwezi 1 uliopita the average south african life through the eyes of an ordinary south african rhino run s new label doubles down on premium range s eco pursuit van loveren is proud to present the upgraded label design of the rhino run wines the robertson winery s premium conservation range in essence the chang miezi 2 iliyopita rundugai blog rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe samia suluhu hassan miezi 2 iliyopita maisha na mafanikio napenda kuwatakieni kheri sana ya mwaka mpya 2024 kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutulinda sisi wote kwa kuona mwaka 2024 wengi walitamani kuona lakini haikuwa bahati kwao binafsi mim miezi 2 iliyopita nekesa everything because i m super woman here s to 2024 may our homes wrap us in comfort may the love we give return to warm our hearts may we persist in loving deeply letting our hearts overflow may miezi 3 iliyopita bongocelebrity my faves handbags on sale i am one of those people love handbags designers non designers i am a sacker of a quality handbag but in very affordable prices so when tumore prosta miezi 4 iliyopita diary yangu huruma inayouma utangulizi docta huyu sio mtoto wangu akasema mdada sio mtoto wako akasema docta kwa mshangao na mdada akawa kimia kama sio mtoto wako wazazi wake wa miezi 4 iliyopita afrika aphukira steadying the edifice rebuilding malawi s education sector from foundational learning to higher education the education sector performance review espr commonly referred to as the joint sector review jsr is a grand much anticipated annual event it is whe miezi 5 iliyopita swahili time mji wa derna libya yaangamizwa na mafuriko watu zaidi ya 20 000 wahofia kufa ni mambo ambayo tumesoma kwenye biblia mji mzima kuangamizwa wiki iliyopita huko libya mashariki ulipita kimbunga daniel mvua ulinyesha mwingi sa miezi 6 iliyopita mwananchi mimi safari ya victoria falls mahali fulani barani afrika takribani kilometa 1 600 kutoka katikati ya jiji la mbeya nchi ya zambia inakutana na zimbabwe makutano hayo yanaporomosh miezi 6 iliyopita the way you see the problem is the problem darasa 45 maisha yetu kama zoezi la matofali darasa linakukumbusha kuwa watu watatu ni mimi na wewe watu kumi ni mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao lakini pia ni watu wetu miezi 6 iliyopita timbuktu chronicles eric schmidt this is how ai will transform the way science gets done eric schmidt writes if we play our cards right with sensible regulation and proper support for innovative uses of ai to address science s most pressing i miezi 7 iliyopita imagethief david wolf remembering a china hand in june 2004 i quit a perfectly good job at a little pr firm in singapore and went to beijing to do a three month language program eight years in singapo miezi 11 iliyopita the mikocheni report correspondence all my fuzzy intentions to revive the blog have melted in the summer heat every attempt on my part to stoke the flames of passion that were the fount of m mwaka 1 uliopita global voices in swahili kwa nini kiswahili hakijawa lugha inayounganisha afrika ushawishi wa kigeni pia huenda ukatatiza kukubalika kwa kiswahili afrika kwa sasa inategemea pakubwa china kwa msaada wa kifedha na kwa upande wake ch mwaka 1 uliopita mohamed elgoharymohamed elgohary apply to my old job at global voices deadline february 28 work for global voices managing lingua the post apply to my old job at global voices deadline february 28 first appeared on mohamed elgohary miaka 2 iliyopita ndagha grace on my journey to success my first appearance in a family photo 1985 at almost 17 my dad allowed me to choose between marriage and education with my twin sister mary i had bee miaka 2 iliyopita mwangaza math activity proving the sas congruence theorem this activity is based on tanzanian mathematics syllabus for secondary schools as a student you are supposed to perform a series of tasks to develop an u miaka 2 iliyopita zambian watchdog mukata family try to murder another guard keith mukata wife maricoh arrested for assaulting a guard mukata him...
|